Vozinha ajutia umaarufu baada ya Kombe la dunia 2026
Sisti Herman
September 28, 2026
Share :

Kipa wa kimataifa wa Cape Verde, Vozinha anakiri kuwa maisha yake yamebadilika kabisa kwa njia hasi sana tangu alipoibuka kuwa mmoja wa nyota waliofanya vizuri katika Kombe la Dunia la 2026.
โNimepoteza amani yangu na utulivu. Sina tena faragha, au angalau nina faragha kidogo sana kuliko hapo awali.โ
โSasa ninapotoka nje au kwenda kwenye mgahawa, daima kuna mtu anayeomba kupiga picha au kutaka saini. ๐๐ฎ ๐ค๐ฎ๐๐๐ฒ๐ ๐ณ๐ข๐๐ข, ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐๐ง๐๐ง๐ข๐ฉ๐ข๐ ๐ข๐ ๐ฏ๐ข๐๐๐จ.โ
โWakati wa Kombe la Dunia, kulikuwa na makampuni na chapa nyingi zilizotaka kufanya kazi nami. Lakini wakati tukishiriki mashindano hayo, nilifanya ushirikiano mmoja tu wa kibiashara, na UFL Mobile.โ
โKwa sasa, sitaki kufanya kazi na chapa zinazohusiana na tumbaku, pombe au kamari.โ
โKiukweli, kama ningelazimika kuchagua kati ya maisha niliyo nayo leo na maisha niliyokuwa nayo awali, ๐๐ข๐ง๐ ๐๐๐ก๐๐ ๐ฎ๐ ๐ฆ๐๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ง๐ข๐ฅ๐ข๐ฒ๐จ๐ค๐ฎ๐ฐ๐ ๐ง๐๐ฒ๐จ awaliโ, Vozinha aliliambia gazeti la The Observer.





