Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga na Frank Komba ni miongoni mwa Waamuzi walioteuliwa na CAF kushiriki Semina ya maandalizi ya fainali za Mataifa Bingwa Afrika CHAN 2024 itakayofanyika Misri, Desemba 4-9, 2024.