pmbet

Waamuzi wa Tanzania wateuliwa CAF kuchezesha CAFCL

Sisti Herman

September 1, 2026
Share :

 

Waamuzi wa Tanzania Nasir Salum, Mohamed Mkono, Ally Ramadhani na Ahmed Arajiga wameteuliwa na CAF kuchezesha mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) JS Saoura (Algeria) vs Horoya AC ( Guinea) utakaochezwa uwanja wa Miloud Hadefi Septemba 4, 2026

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet