pmbet

Waamuzi wa Tanzania wateuliwa na CAF kushiriki Semina ya CHAN.

Joyce Shedrack

May 27, 2025
Share :

Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, Frank Komba na Hamdani Said wameteuliwa na CAF kushiriki semina ya pili ya maandalizi ya CHAN itakayofanyika Cairo.

Semina hiyo itafanyika Cairo, Misri kuanzia Juni 21 hadi 25, 2025.

 

Mashindano ya CHAN yanatarajia kufanyikia nchini Tanzania,Kenya na Uganda mwezi Agosti mwaka huu baada ya kuahirishwa mwezi wa pili kutokana na viwanja kutokidhi vigezo.

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet