pmbet

Waamuzi wa Tanzania waula CAF

Sisti Herman

January 16, 2025
Share :

Timu ya waamuzi wanne wa Tanzania wameteuliwa na CAF kuchezesha mchezo wa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) RS Berkane ya nchini Morocco dhidi ya Stellenbosch FC ya nchini Afrika Kusini.

Kwenye seti hiyo, mwamuzi Ahmed Arajiga ataongoza jopo kwa kuwa mwamuzi wa kati huku Mohamed Mkono na Kassim Mpanga wakiwa waambuzi wa pembeni na Nasir Salum mwamuzi wa akiba.

Mchezo huo wa mwisho wa hatua ya makundi utachezwa kwenye Uwanja wa Berkane Januari 19, 2025.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet