pmbet

Waarabu kikaoni kumshawishi Benzema abakie Saudia

Eric Buyanza

February 2, 2024
Share :

Katika siku za karibuni fununu zilitikisa ulimwengu wa soka ya kwamba mshambulizi wa Ufaransa Karim Benzema mwezi Januari alikuwa akijaribu kuhitimisha kandarasi yake kama mchezaji wa Al-Ittihad ya Saudia.
 

Lakini taarifa ikufikie kuwa mchezaji huyo yuko kwenye mazungumzo na klabu hiyo ya Saudi Pro League, ambayo bado inataka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 36 aendelee kubakia kwa msimu mwingine

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet