pmbet

Waarabu wawatoa Mamelodi nusu fainali CAF

Sisti Herman

April 27, 2024
Share :

Baada ya kipigo cha 'Nje na Ndani' kutoka kwa wababe wa Tunisia ES Tunis, Klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika kusini imeondolewa kwenye nusu fainali ya ligi ya Mabingwa kwa jumla ya 2-0 huku wakiwa hawajafunga goli tangu waingie hatua za mtoano.

Mamelod ambao waliwaondoa klabu ya Wananchi Yanga kwenye hatua ya robo fainali, walifungwa 1-0 ugenini jijini Tunis wiki iliyopita kabla ya jana kutupwa nje ya mashindano kwa kufungwa tena 1-0 wakiwa nyumbani Pretoria Afrika kusini.

ES Tunis itacheza Fainali dhidi ya Al Ahly ya Misri.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet