pmbet

Wababe wa Kariakoo kukipiga Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii.

Joyce Shedrack

September 22, 2026
Share :

Ratiba rasmi ya Ngao ya Jamii kwa ligi ya Wanawake Tanzania bara imetoka ambapo timu nne zitachuana katika hatua ya nusu fainali tarehe 30 Septemba ili kutafuta mshindi wa kucheza fainali ya taji hilo tarehe 3 Oktoba 2026.

Simba Queens: Kikosi, Ratiba, Matokeo na Historia
Mabingwa wa ligi kuu ya Wanawake msimu uliopita Simba Queens itacheza dhidi ya washindi wa tatu wa ligi Yanga Princess katika nusu fainali ya kwanza huku Nusu Fainali nyingine ikiwa ni kati ya msindi wa 2 wa pili dhidi ya mshindi wa Nne wa ligi Mashujaa Queens.


Mshindi wa mchezo wa kwanza atakutana na mshindi wa mchezo wa pili katika Fainali ya Ngao ya Jamii.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet