pmbet

Wabunge wa Senegal wanaosusia vikao vya bunge kutimuliwa

Eric Buyanza

May 9, 2026
Share :

Huko nchini Senegal, jana Mei 8, 2026, Bunge linalotawaliwa na chama tawala PASTEF, limepitisha muswada wa kuwachukulia hatua wabunge wanaojihusisha na tabia ya kususia bunge. 
 

Ibara ya 118 ya sheria za utaratibu wa Bunge tayari imetoa nafasi ya kusitishwa kwa posho za bunge (na uwezekano wa kutimuliwa kwenye nafasi hiyo) kwa mbunge ambaye ataonekana kuendelea kususia vikao vya bunge mara kwa mara na bila sababu ya msingi.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet