pmbet

Wachagua kucheza Uganda na sio Scotland

Sisti Herman

September 14, 2026
Share :

 

Ndugu wawili waliozaliwa na wazazi wa raia wa Scotland, Ollie na Seb Fisher, kwa sasa wanafanya mazoezi na timu za taifa za vijana za Uganda walichagua kuichezea na wawili hao wanachezea mfumo wa akademi ya klabu ya Partick Thistle nchini Scotland.

Ollie, mwenye umri wa miaka 19, anafanya mazoezi na timu ya Uganda ya vijana walio chini ya umri wa miaka 20 (U20), huku mdogo wake Seb akiwa na timu ya vijana walio chini ya umri wa miaka 17 (U17).

Wanapata fursa ya kuiwakilisha nchi yenye asili yao, Uganda, katika ngazi ya kimataifa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet