pmbet

Wahamiaji haramu wa zaidi ya 600 waokolewa Tunisia

Sisti Herman

March 20, 2025
Share :

 

Idara ya Ulinzi wa bahari ya Tunisia imewaokoa zaidi ya wahamiaji 600 waliokuwa wamekwama katika bahari ya Mediterania, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Ulinzi wa Kitaifa ya Tunisia mnamo Machi 17.

Zaidi ya 612 waliokolewa, huku miili 18 ikitolewa kutoka baharini.

Wahamiaji hao waliokuwa kwenye boti hizo walikuwa safarini kutoka Afrika nch za Kusini mwa Jangwa la Sahara kwenda Ulaya.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet