pmbet

Wahofiwa kufa baada ya kituo cha mafuta kulipuka!

Eric Buyanza

December 18, 2023
Share :

Watu kadhaa wanahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa kufuatia mlipuko uliotokea katika kituo cha mafuta mji mkuu wa Conakry nchini Guinea leo.
 

Taarifa iliyochapishwa katika tovuti ya habari Le Courrier De Conakry imefafanua kuwa idadi ya waliofariki ni wanne na waliojeruhiwa ni 100.

Polisi nchini humo wanaendelea na uchunguzi kufahamu idadi kamili ya waliopoteza maisha na kujeruhiwa.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet