Waingereza na Waarabu wapigania saini ya Mido wa Mamelodi
Sisti Herman
July 3, 2024
Share :
Kiungo wa kati timu ya Taifa ya Afrika kusini na klabu ya Mamelodi Sundwons Teboho Mokoena yupo kwenye rada za kuhitajika na timu kubwa kutoka Ulaya na mashariki ya kati.
Mokoena ambaye amekuwa na kiwango bora kwenye michuano ya kimataifa kama AFCON na CAF Champions league anahityajika na klabu ya Bournamouth ya Uingereza, Al Ahly ya Misri pamoja na Al Wakrah ya Qatar.
Thamani ya kiungo huyo kweney soko la uhamishpo linatajwa kufika Euro milioni 2 (zaidi ya bilioni 6.5 za Tanzania).