Wajue watu 10 matajiri zaidi duniani
Eric Buyanza
January 15, 2024
Share :
Kwa mujibu wa jarida la Forbes hawa ndio watu 10 matajiri zaidi duniani mpaka kufikia mwezi huu wa Januari.
1 Elon Musk (KAMPUNI: Tesla, SpaceX)
2 Bernard Arnault (KAMPUNI: LVMH)
3 Jeff Bezos (KAMPUNI: Amazon)
4 Larry Ellison (KAMPUNI: Oracle)
5 Mark Zuckerberg (KAMPUNI: Facebook)
6 Bill Gates (KAMPUNI: Microsoft)
7 Warren Buffett (KAMPUNI: Berkshire Hathaway)
8 Larry Page (KAMPUNI: Google)
9 Sergey Brin (KAMPUNI: Google)
10 Steve Ballmer (KAMPUNI: Microsoft)