pmbet

Wakala wa Kloop akanusha taarifa za kujiunga na Real Madrid.

Joyce Shedrack

June 6, 2026
Share :

Jurgen Klopp hatachukua mikoba ya kuinoa Real Madrid, licha ya mgombea Urais wa klabu hiyo Enrique Riquelme kuahidi atampa kazi iwapo atachaguliwa.

Jurgen Klopp: Shock Real Madrid move dismissed but managerial return is on  the cards

Riquelme anawania nafasi hiyo dhidi ya Rais aliyeko madarakani Florentino Perez, 79, huku wote wakitoa ahadi kubwa na hata akiwakasirisha Man City kwa kudai atamsajili Erling Haaland.

 

Sasa Riquelme, 37, amezungumzia kumleta kocha huyo wa zamani wa Liverpool viunga vya Bernabeu lakini wakala wa Mjerumani huyo Marc Kosike alizima kauli hiyo.

 

"Inaudhi," alisema kwenye kituo cha TV Sky Germany. 'Jurgen Klopp ana furaha katika nafasi yake na kampuni ya Red Bull na hana matarajio ya kufanya kazi kama kocha katika klabu.'

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet