pmbet

Wakandarasi kwenye '18 za Chalamila', "Nitawaweka ndani"

Eric Buyanza

April 18, 2024
Share :

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amechukizwa na wakandarasi wanaosimamia ujenzi wa Barabara ya mwendokasi ya Gongolambo.

RC Chalamila ametoa kauli hiyo mapema leo April 18 2024 alipokuwa kwenye ziara yake ambapo amesema hajaridhishwa na utendaji wa kazi wa mradi huo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet