pmbet

Wakati Kompany akitibiwa, msaidizi wake akabidhiwa timu

Eric Buyanza

October 24, 2026
Share :

Mkurugenzi wa Michezo wa klabu ya FC Bayern Munich, Max Eberl, ametoa taarifa mpya kuhusu hali ya kocha mkuu wa timu hiyo, Vincent Kompany, baada ya kuanguka ghafla uwanjani siku ya Ijumaa.

 

Eberl amethibitisha kuwa kocha huyo mwenye umri wa miaka 40 yuko katika hali nzuri lakini atalazimika kukaa nje ya uwanja kwa "wiki kadhaa" ili kupona kikamilifu.

 

Kompany alianguka ghafla siku ya Ijumaa wakati akitazama mazoezi ya timu ya akiba ya Bayern Munich (Bayern Amateurs) katika viwanja vya Säbener Straße. Baada ya tukio hilo la kushtua, gari la wagonjwa lilimkimbiza hospitali ambako anaendelea kufanyiwa vipimo vya kina.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet