Wakazi anaongeaga vitu vya msingi - Fid Q
Eric Buyanza
December 5, 2023
Share :
Msanii Farid Kubanda, Fid Q amempa maua yake msanii mwenzake wa Hiphop, Wakazi, akisema msanii huyo amekuwa Balozi mzuri kwenye sanaa kwasababu anapigania sana haki kwenye sanaa.
FID Q anasema Wakazi siku zote kunapotokea kupambania haki kwenye tasnia ya muziki huwa huwa anaongea 'vitu vya msingi'.