pmbet

Walioingia na waliotoka Simba hawa hapa

Sisti Herman

January 16, 2024
Share :

Dirisha la dogo usajili katikati ya msimu kwa vilabu na uhamisho wa ndani limefungwa jana usiku huku likishuhudia baadhi ya maingizoo mapya kutoka timu za tofauti.

 

Hawa hapa wachezaji wapya waliosajiliwa Simba.

 

1. Saleh Karabaka. 

2. Edwin Balua.

3.  Babacar Sarr. 

4. Ladack Chasambi. 

5. Pa Omar Jobe. 

6. Freddy Michael Kouabla.

 

Hawa hapa nyota waliachwa na Simba.

 

1.Jean Baleke. 

2.Moses Phiri. 

3.Shaban Chilunda. 

4.Nassoro Kapama. 

5.Ahmad Feruz. 

6.Jimson Mwanuke. 

7.Mohammed Mussa.

 

Je umeridhishwa na uhamisho wa Simba kwa dirisha hili?

 

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet