pmbet

Walioingia na waliotoka Yanga hawa hapa

Sisti Herman

January 16, 2024
Share :

Dirisha la dogo usajili katikati ya msimu kwa vilabu na uhamisho wa ndani limefungwa jana usiku huku likishuhudia baadhi ya maingizoo mapya kutoka timu za tofauti.

 

Hawa hapa wachezaji waliothibitishwa kuachwa na klabu ya Yanga.

 

1. Hafidh Konkon

2.Jesus Moloko

3. Crispin Ngushi

 

Hawa hapa wachezaji waliothibitishwa kusainiwa na klabu ya Yanga.

 

1. Sheikhan Ibrahim

2. Augustine Okrah. 

4. Joseph Guede.

 

Yapi maoni yako kwa uhamisho huu dirisha hili?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet