Waliomzushia kifo Dk Mpango kushughulikiwa - Nape
Eric Buyanza
December 11, 2023
Share :
Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknoloiia ya Habari, Nape Nnauye.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Waziri Nape amesema..."Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao itumike vizuri na kwakuwa tuna Taasisi na watu wa kusimamia sheria hizi, bila kuathiri uhuru wa watu, TUTACHUKUA HATUA kutokomeza matumizi haya mabaya ya mtandao! Naamini wote watatuelewa! "