pmbet

“Wamemkanyaga nyoka mkia, naenda kusafisha palipochafuka” - Twaha Kiduku

Eric Buyanza

December 26, 2023
Share :

Bondia kipenzi cha wapenda ngumi Twaha Kiduku usiku wa leo anatarajiwa kupanda ulingoni kwenye ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dsm, kuzipiga na bondia kutoka Uganda Muhammad Sebyala maarufu kwa jina la ‘Medi Kabona’  ...kwenye pambano lililopewa jina ‘Boxing on Boxing Day’
 

Akiongea kuelekea pambano hilo la round 10 lisilo na ubingwa, Twaha Kiduku amesema anaenda kurejesha heshima......"Wamemkanyaga nyoka mkia, naenda kusafisha palipochafuka.” amejitapa bondia huyo kutoka mkoani wa Morogoro.

Naye, Medi Kabona amesema amekuja Tanzania kwa ajili ya shughuli moja tu “kumpiga Twaha.” 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet