pmbet

"Wamenifanya nionekane msanii anayechipukia" - 2Face

Eric Buyanza

January 4, 2024
Share :

Mwanamuziki mkongwe wa Nigeria aliyetikisa Afrika miaka ya 2000, Innocent Ujah Idibia, maarufu kwa jina la 2face Idibia au 2Baba, anasema mafanikio makubwa ya wasanii wa sasa yamempunguzia hadhi yake aliyowahi kuwa nayo mpaka kufikia sehemu anajiona kama msanii anayechipukia 'Underground'.
 

Mkali huyo wa ‘African Queen’ huku akiwapongeza wasanii hao wa Nigeria wa sasa kwa mafanikio yao, ameapa kurejea kwenye kiwango chake cha enzi hizo mwaka huu.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet