pmbet

Wameweka rekodi mwisho wakaambulia kipigo.

Sisti Herman

June 16, 2024
Share :

Mchezo wa kundi B kwenye michuano ya Mataifa ya Ulaya EURO 2024 kati ya timu ya Taifa ya Italia dhidi ya Timu ya Taifa ya Albania umeingia kwenye rekodi ya kuzaa goli la mapema zaidi kwenye michuano hiyo lililofungwa na mchezaji wa Albania Nedim Bajrami sekunde ya 23 ya mchezo.

Goli hilo halikuwatosha timu ya Taifa ya Albania kuondoka na alama tatu kwenye mchezo huo kutokana na ubora waliokuwa nao Italia wakitumia dakika 16 tu kurudisha goli na kuchukua uongozi wa mchezo kwa goli 2-1.

Mchezo huo ulitamatika kwa Albania kupoteza kwa goli 2-1 na Italia kuvuna alama tatu zilizowasaidia kujikita nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi B.

Msimamo kundi B baada ya michezo ya jana.
Uhispania - 3
Italia - 3
Albania - 0
Croatia -0.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet