pmbet

Wanaanga waliotoka mwezini watua salama

Eric Buyanza

April 11, 2026
Share :

Kikosi cha wanaanga wa Artemis II kimerejea salama duniani baada ya kukamilisha safari yao kihistoria mwezini.

 

NASA ilitoa picha nzuri zilizopigwa kutoka upande wa mbali wa Mwezi wakati wa misheni hiyo.
 

Mojawapo ya kuvutia zaidi ni picha hii, ambayo Nasa imeiita Earthset. Inaonyesha Dunia ikisiwa nyuma ya upeo wa Mwezi - picha maarufu ya Earthrise iliyopigwa wakati wa misheni ya Apollo 8.

 

Picha nyingine inaonyesha Mwezi ukilifunika Jua. Wanaanga walipata fursa ya kipekee ya kujionea tukio hilo kwa karibu dakika 54 walipokuwa wakipita nyuma ya Mwezi.

 

Kutoka ndani ya chombo cha Orion wanaanga waliweza kuona Dunia kama mpevu ikiongezeka polepole nyuma yao walipokuwa wakiendelea na safari yao ya nje ya maili 250,000 (400,000km).
 

Kufikia umbali huo kutoka duniani hadi Mwezini kungewachukua siku nne.


 

BBC

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet