pmbet

Wananchi hakuna kupoa waanza tizi wakiwa Malawi.

Joyce Shedrack

October 16, 2025
Share :

Klabu ya Yanga imefanya mazoezi ya kwanza wakiwa Nchini Malawi kuelekea mchezo wao wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Silver Strikers.

Wananchi watashuka dimba siku ya Jumamosi saa 10 jioni kukabiliana na wenyeji wao kuanza kusaka tiketi ya kufuzu hatua ya makundi ya michuano hiyo.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet