pmbet

Wananchi mzigoni leo wakisaka ushindi dhidi ya Prisons.

Joyce Shedrack

April 4, 2026
Share :

Klabu ya Yanga siku ya leo inarejea uwanjani kwenye mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara dhidi ya Tanzania Prisons kwenye uwanja wa KMC Complex majira ya saa 12;30 jioni.

Wananchi wanarejea nyumbani wakisaka ushindi baada ya kucheza michezo 5 ugenini huku wakishindwa kupata ushindi katika michezo 3 mfululizo.

 

Hata hivyo katika michezo mitano ya nyumbani iliyopita kwa Yanga ni mchezo mmoja pekee ndio hajafanikiwa kupata ushindi dhidi ya Simba huku michezo mingine minne wakiibuka na ushindi wakati Tanzania Prisons wakiwa na hali tete ugenini mechi zao 5 za mwisho wameshinda mchezo mmoja pekee ugenini dhidi ya Mbeya City.

 

Nani ataibuka na ushindi leo?. 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet