pmbet

"Wanatafuta asiyekua na haya awatangazie kuwa wanacheza" – Ahmed Ally

Eric Buyanza

June 4, 2025
Share :

Nyuma Mwiko wanatafuta Mtu asiyekua na haya awatangazie kuwa wanacheza.

 

Wote wanashindwa kujitokeza hadharani kwa mbwembwe walizofanya kuwa hawachezi wanajiuliza wanaaanzaje na wataonekanaje?

Walichoamua ni kuanza mazoezi kisirisiri.

 

Ameandika Afisa Habari wa Timu ya Simba SC, @ahmedally
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet