“Wanaume pekee ndio hutafuta mapenzi ya kweli, Wanawake hutafuta anayeweza kuwatunza”
Eric Buyanza
February 21, 2024
Share :
Mwanamke mmoja nchini Nigeria aliyefahamika kwa jina la Gimbiya Ibrahim, amezua sintofahamu miongoni mwa baadhi ya wanawake wenzake kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuandika ujumbe huu..
"Wanaume pekee ndio hutafuta mapenzi ya kweli, Wanawake hutafuta anayeweza kuwatunza, ukishakuwa na pesa watakupenda"