Wanaume wanaosaliti wanawake wao, wanastahili kufa - Rubi Rose
Eric Buyanza
May 17, 2024
Share :
Rapa na mtayarishaji maarufu wa 'maudhui ya watu wazima', Rubi Rose, ametoa maoni yake kuhusu 'wanaume wasaliti' na kuzua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii duiani.
Kupitia mtandao wake wa kijamii Rubi aliandika, “Wanaume wanaosaliti wanawake wao wanastahili kufa”
Hata hivyo maoni hayo yalizua maoni tofauti, huku wengi wakimkosoa kwa kuegemea upande mmoja.