Wanawake wengi hunyanyaswa kimtandao - UN
Eric Buyanza
December 5, 2023
Share :
Kwa mujibu wa Ripoti ya UN Women, asilimia 38 ya Wanawake wamekumbana na Ukatili Mtandaoni, huku asilimia 85 wakiwa mashahidi wa Ukatili wa Kidijitali dhidi ya Wanawake wenzao.
Katika Sekta ya Teknolojia, asilimia 44 ya Wanawake walipata Unyanyasaji mahali pa kazi Mwaka 2020, huku asilimia 41 wakikumbana na Unyanyasaji wa Kijinsia.