pmbet

Wapinzani wa Simba na Yanga CAF kujulikana Jumatano

Eric Buyanza

October 26, 2026
Share :

Vigogo wa soka la Tanzania, timu za Simba na Yanga wanatarajiwa kuwafahamu wapinzani wao wa hatua ya Makundi Afrika, Jumatano, October 28.

Ratiba hiyo itapangwa Jumatano nchini Misri na kila timu timu itapangwa katika kundi lenye timu nne, huku zikitakiwa kutoka timu mbili katika kila kundi kwenda hatua ya Robo Fainali.

 

Timu hizo ni Pyramids FC, MC Alger, Wiliete SC, Espérance de Tunis, FC Nouadhibou, MAS Fès, RS Berkane, Petro de Luanda na Orlando Pirates, Club Africain, Zamalek SC, Al Hilal, Horoya AC, Colombe Sportive.
 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet