pmbet

Wasaidizi wa Trump wanaishi kwenye mahandani kuihofia Iran

Sisti Herman

November 16, 2026
Share :

 

@foxnews inaripoti kuwa maafisa wa ngazi ya juu wa Marekani wafuatao wamehamishiwa kwenye mahandaki ya kijeshi kutokana na kuongezeka kwa vitisho vya mauaji kutoka Iran 👇

(I) Waziri wa Hazina wa Marekani, Scott Bessent

(II) Mwanasheria Mkuu wa Marekani ,Todd Blanche

(III) Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ,Marco Rubio

(IV) Waziri wa Vita wa Marekani, Pete Hegseth

(V) Mkuu wa Watumishi wa Ikulu ya Marekani (White House) Stephen Miller

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet