Washika mitutu wauawa kwa mtutu nyumbani kwao.
Joyce Shedrack
April 11, 2026
Share :
Matumaini ya ubingwa ya Arsenal yamepata pigo baada ya kupoteza mechi ya nyumbani kwa mabao 2-1 dhidi ya Bournemouth, jambo lililofungua nafasi kwa Manchester City kupunguza pengo kileleni.
Washika Mitutu wanasalia kileleni alama 70 baada ya mechi 32, alama 9 mbele ya Manchester City waliopo nafasi ya pili wakiwa wamecheza michezo 30.





