pmbet

Washindani wa Infantino FIFA hawa hapa

Sisti Herman

November 19, 2026
Share :

 

FIFA imethibitisha kupokea wagombea watatu kwa ajili ya uchaguzi wa rais wa FIFA wa mwaka 2027 🗳️

 

🇫🇷 Phillipe Dallo, Rais wa Shirikisho la Soka la Ufaransa
🇨🇭 Gianni Infantino, Rais wa FIFA
🇯🇵 Kozo Tashima, Rais wa Chama cha Soka cha Japani

 

Uchaguzi huo utafanyika katika Kongamano la 77 la FIFA mjini Rabat, Morocco, tarehe 18 Machi 2027

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet