pmbet

Wasiokuwa na nauli ya basi? Hufanya zoezi hili ili kupata tiketi ya bure

Eric Buyanza

June 7, 2024
Share :

Nchini Romania, wakazi wa jiji la Cluj-Napoca, wasiokuwa na nauli ya usafiri wa basi..wanaweza kupanda basi bure kwa kufanya mazoezi ya kuchuchumaa (Squats) mara 20 mbele ya mashine maalum ya kukatia tiketi iliyowekwa kwenye kituo cha basi.

Mashine hiyo inahesabu kila unapoinama na ukifikisha mara ya 20 inakutolea tiketi ya bure. Mazoezi hayo hayachukui zaidi ya dakika 2.

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet