Watoto hutabasamu mara 200 kwa siku, wanawake 62 na wanaume mara 8
Eric Buyanza
April 3, 2026
Share :
#JeWajua Utafiti unaonyesha kuwa watoto wadogo hutabasamu zaidi kuliko watu wazima, inatajwa kuwa watoto hutabasamu hadi mara 200 kwa siku.
Kwa ulinganisho wanawake hutabasamu karibu mara 62 kwa siku, huku wanaume wakitabasamu kwa wastani wa mara 8 kwa siku.
Tofauti hii inaelezea jinsi majukumu ya maisha yanavyoweza kufifisha furaha miongoni mwetu.
Tabasamu la mtoto ni muhimu kwani huchochea ukuaji wa ubongo na kuimarisha afya ya kihisia.






