pmbet

Watoto watatu wa Harry Kane wajeruhiwa katika ajali ya gari

Eric Buyanza

April 12, 2024
Share :

Watoto watatu wa nahodha wa Uingereza na mshambuliaji wa FC Bayern Munich Harry Kane wamejeruhiwa katika ajali ya gari nchini Ujerumani.
 

Ajali hiyo ilitokea wakati gari aina ya Renault iliyokuwa ikiendeshwa na Binti wa miaka 20 ilipogongana na Mercedes Benz iliyokuwa imewabeba watoto wa Kane, gazeti la Bild la Ujerumani limeripoti.
 

Watoto wa mwanasoka huyo Louis, Vivienne pamoja na Ivy walipata majeraha madogo na walitibiwa kwenye hospitali iliyokuwa karibu na eneo la ajali.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet