pmbet

Watu 23 wafariki na wengine 30 kutibiwa kwa majeraha ya risasi Kenya

Sisti Herman

June 26, 2024
Share :

Chama cha Madaktari nchini Kenya kimesema takriban watu 23 wameuawa na wengine 30 wanaendelea kutokana na majeraha ya risasi baada ya maandamano ya kitaifa ya kupinga nyongeza ya ushuru katika Muswada wa sheria ya fedha uliopitishwa na Bunge la nchi hiyo siku ya jana.

Chanzo; Reuters

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet