Watu zaidi ya 2,000 duniani wamemuona mtu huyu ndotoni!
Eric Buyanza
March 5, 2024
Share :
Kwa mujibu wa tafiti zaidi ya watu 2,000 duniani wamedai kuwahi kumuona mtu huyu kwenye ndoto zao.
Hata hivyo hakuna aliyewahi kujitokeza kusema kuwa anamjua!
Na inasemekana kila aliyemuona amekuwa akitoa ujumbe au tahadhari ya jambo fulani.
Jiulize sasa mtu huyu ni nani?