pmbet

'Wazawa' wana jambo lao msimu huu Ligi Kuu

Sisti Herman

February 4, 2026
Share :



Kati ya wachezaji watano (5) wanaoongoza kwa kufunga idadi kubwa ya magoli kwenye Ligi kuu Tanzania msimu huu, wachezaji kati yao ni wachezaji raia wa Tanzania, jambo ambalo siyo kawaida kwenye misimu ya hivi karibuni kwenye ligi hii iliyotawaliwa na wachezaji hatari raia kutoka mataifa tofauti.

Hii hapa Top 5 ya wanaoongoza kwa ufungaji msimu (2025/26) huu hadi sasa;

1. Saleh Karabaka, JKT Tanzania (Tanzania), goli 6
2. Fabrice Ngoy, Namungo (DRC), goli 5
3. Paul Peter, JKT Tanzania (Tanzania), goli 5
4. Prince Dube. Yanga SC (Zimbabwe), goli 4
5. William Edgar, Dodoma Jiji (Tanzania). goli 4

Je unadhani mfungaji bora wa Ligi kuu msimu huu ataweza kuwa 'Mzawa'?

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet