pmbet

Waziri atenguliwa akiwa kwenye majukumu yake.

Joyce Shedrack

July 22, 2024
Share :

Aliyekuwa Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Nauye usiku wa jana alipokea taarifa ya kung'olewa kwenye nafasi hiyo wakati akiwa mgeni rasmi kwenye ugawaji wa Tuzo za ( Digital - Men & Women Awards 2023/2024).

Kupitia taarifa iliyotolewa na Ikulu ilithibisha kutengua uteuzi wa Waziri huyo na kuteuliwa aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kurithi nafasi hiyo. 

 

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Jerry William Silaa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari akichukua nafasi ya Nape Moses Nnauye ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

 

 

 

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet