pmbet

Waziri mkuu wa Ukraine ajiuzulu

Eric Buyanza

July 15, 2026
Share :

Waziri Mkuu wa Ukraine Yulia Svyrydenko amejiuzulu leo Jumanne ikiwa ni sehemu ya mageuzi serikali yaliyoagizwa na Rais Volodymyr Zelensky.

 

Zelensky ambaye amekubali uamuzi huo, bado hajamtaja mrithi wa nafasi hiyo huku akisema tu kwamba Kyiv "inabadilisha mkakati wake wa kisiasa" katikati ya "changamoto na majukumu mapya".
 

Bunge tayari limeidhinisha kujiuzulu kwa kiongozi huyo aliyechaguliwa Julai 2025.

 

Mabadiliko hayo yanafanyika katika kipindi tete cha vita vya miaka minne vya Urusi nchini humo, huko Moscow ikiendeleza mashambulizi makali ya makombora na Kyiv nayo ikijipanga kutengeneza mifumo ya kujilinda angani ya US Patriot.

DW

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet