pmbet

Waziri wa michezo ashinikiza kuanza kutumiwa kwa VAR Ligi kuu Afrika kusini

Sisti Herman

August 17, 2026
Share :

 

Waziri wa Michezo wa Afrika kusini Gayton McKenzie anafanya juhudi kubwa kuharakisha utekelezaji wa mfumo wa VAR (Video Assistant Referee) katika soka la nchini humo, kufuatia mfululizo wa rafu hatari dhidi ya nyota wakubwa kama Teboho Mokoena, Sihle Nduli, Tashreeq Matthews, na wengineo. 

 

McKenzie alithibitisha kuwa barua rasmi zimeshatumwa kwa SAFA ili kupata taarifa za haraka: "Tumeiandikia SAFA barua kuulizia maendeleo ya VAR; suala hili ni la dharura zaidi kuliko wakati wowote kutokana na baadhi ya rafu kali wanazofanyiwa wachezaji. Nitatoa mrejesho siku ya Jumanne."

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet