pmbet

Wengine walikimbia mvua, Totti aliendelea kujifua na akaja kupindua meza

Eric Buyanza

November 14, 2026
Share :

Miaka 10 iliyopita, Septemba 2016, klabu ya AS Roma ilikuwa nyuma kwa mabao 2-1 dhidi ya Sampdoria, kabla ya mchezo huo kusimamishwa kwa saa moja kutokana na mvua kubwa.
 

Wachezaji wote, makocha, na wachezaji wa akiba walikimbilia vyumbani kujihifadhi, isipokuwa nahodha mkongwe Francesco Totti, ambaye aliendelea kufanya mazoezi ya kupasha misuli pembeni mwa uwanja huku akinyeshewa.

 

Mchezo ulipokuja kuendelea, Totti alitoa pasi muhimu iliyosababisha bao la kusawazisha kwa ajili ya Roma (2-2), na kisha akafunga bao la ushindi katika dakika za mwisho na hivyo Roma kuibuka kidedea kwa mabao 3-2.
 

Huyu ni Gwiji kweli kweli 👏

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet