West Ham kumrudisha N'golo Kante Uingereza kwa pauni milioni 20
Eric Buyanza
July 19, 2024
Share :
Klabu ya West Ham iko kwenye mazungumzo na klabu ya Al-Ittihad ya Saudi Pro League kwa ajili ya kuhitaji huduma ya N'Golo Kante.
Taarifa zinasema kama dili hilo litaiva, basi mkataba wake unaweza kugharimu pauni milioni 20.
Kabla ya kutorokea kwenye Ligi ya Saudi Arabia, N'Golo alikuwa akiichezea Chelsea.