pmbet

Whatsapp kutumia majina sasa badala ya namba za simu

Sisti Herman

June 17, 2025
Share :

 

Kampuni ya Meta, inayomiliki 𝐖𝐡𝐚𝐭𝐬𝐀𝐩𝐩, imeanzisha mfumo mpya katika programu hiyo ambao hautahitaji tena kuomba nambari ya simu ya mtu ili kuwasiliana naye.

Badala yake, utahitaji tu jina lake la mtumiaji (username), sawa na jinsi ilivyo kwenye mitandao mingine ya kijamii kama 𝐅𝐚𝐜𝐞𝐛𝐨𝐨𝐤 na 𝐈𝐧𝐬𝐭𝐚𝐠𝐫𝐚𝐦.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet