Wijnaldum mbioni kujiunga na Chelsea
Sisti Herman
September 3, 2026
Share :

Inaripotiwa kuwa aliyekuwa kiungo wa Liverpool Georginio Wijnaldum yuko mbioni kujiunga na Chelsea kama mchezaji huru, huku 'The Blues' wakitafuta kiungo mpya kufuatia kuondoka kwa Enzo Fernandez kwenda Man City.
Misimu mitatu ya mwisho ya Mholanzi huyo akiwa na Al-Ettifaq:
▪️ 2025/26: Mechi 34, mabao 17, pasi za mabao 6
▪️ 2024/25: Mechi 36, mabao 14, pasi za mabao 4
▪️ 2023/24: Mechi 31, mabao 7, pasi za mabao 6
Je, kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 35 itakuwa hatua nzuri kwa Chelsea? 🤔
🗞️ Chanzo: TW/Santi_J_FM





