Will Smith aongoza kwa mauzo ya filamu Marekani
Sisti Herman
May 30, 2024
Share :
Kwa mujibu wa takwimu za mauzo ya filamu kupitia majukwaa tofauti "Platforms" ikiwemo Box Office msanii wa filamu wa Marekani Will Smith ndiye muigizaji pekee ambaye filamu zake nane, kila moja zimevuna zaidi ya dola milioni 100 (sawa na zaidi bilioni 260 za Tanzania) katika mapato ya filamu ndani ya Marekani mfululizo, tangu mwaka wa 1992.
Hizi ni takwimu za mapato ya Will Smith kutoka kwenye filamu zake;
Bad Boys: Bil. 367.7
Independence Day: Tril. 2.125
Men In Black: Tril. 1.532
Enemy Of The State: Bil. 651
Wild Wild West: Bil. 577.3
Men In Black 2: Tril. 1.146
Bad Boys 2: Bil. 710.6
I Robot: Bil. 918.1
Shark Tale: Bil. 973.9
Hitch: Bil. 966.2
The Pursuit of Happiness: Bil. 798.2
I Am Legend: Tril. 1.521
Hancock: Tril. 1.612
Men In Black 3: Tril. 1.700
Bad Boys For Life: Tril. 1.105
Aladdin: Tril. 4
Ni muigizaji pekee katika historia ya Hollywood kuwa na filamu 8 mfululizo zilizotengeneza zaidi ya dola milioni 100 kwenye box office.