pmbet

Willian wa Chelsea ageukia Uinjilisti

Sisti Herman

April 14, 2026
Share :

 

Winga wa zamani wa Chelsea FC na timu ya taifa ya Brazil Willian Borges da Silva alionekana akihubiri neno la Mungu kuhusu kuhusu maisha ya Yesu Kristu kanisani, akishiriki imani yake hadharani.

Wengi wametoa maoni yao kuwa ni nguvu kuona mtu ambaye amefika kileleni bado anatumia jukwaa lake kwa kitu kikubwa zaidi kuliko mpira wa miguu.

pmbet
pmbet

Leagues standings

Tanzania Premier League
pmbet
pmbet